Wednesday, August 15, 2012

PRECISION AIR NA TAASISI YA TUMAINI LA MAISHA KUTOA USAFIRI KWA WATOTO WENYE SARATANI


 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Precision Air Bw. Alfonse Kioko akizungumza na wageni na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kutiliana saini na Taasisi binafsi ya Tumaini la Maisha ambapo amesema kuwa taifa lenye afya ndio lenye uwezo wa kupata maendeleo na kuongeza kuwa watoto wanahitaji uangalizi na huduma bora za afya ili kujenga taifa lenye afya bora na mafanikio siku za usoni. Kushoto ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Tumaini la Maisha Bi. Blandina Lugendo na kulia ni Daktari Bingwa wa Saratani za Watoto (Paediatric Oncologist) Dkt. Trish Scalan. 



Bw. Alfonse Kioko wa Precision air wakitiliana saini mkataba na Bi. Blandina Lugendo wa Taasisi ya Tumaini la Maisha, utakaoshuhudia kampuni ya Precision Air ikitoa tiketi za ndege kwa Taasisi ya Tumaini la Maisha Tanzania, ambazo zitatumika kusafirisha watoto wenye saratani pamoja na wazazi au walezi wao kutoka jijini Dar es Salaam kwenda sehemu mbalimbali nchini.



Wakikabidhiana mkataba wa makubaliano hayo.


Kampuni ya huduma za usafirishaji wa anga ya Precision Air imeingia katika ubia na taasisi binafsi ya Tumaini la Maisha Tanzania ambayo inajihusisha na kuboresha maisha ya watoto wenye saratani nchini Tanzania.

Kampuni hiyo itakuwa ikitoa tiketi mbili zilizolipiwa ushuru kwa mwezi na kuwezesha kusafirisha wagonjwa kwenda katika maeneo mbalimbali nchini.

Akizungumza katika hafla ya kusain imkataba wa ubiahuo, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Precision Air Bw. Alfonse Kioko amesema wanayo furaha kuingia katika ushirikiano huo katika jitihada za kujenga taifa lenye afya.

Bw. Kioko ameongoza kusema kuwa wapo maelfu ya watoto wanaosumbuliwa na saratani ndani ya nchi yetu, na ni lengo lao sasa kuhakikisha tunawarahisishia ugumu wa maisha katika kupambana na ugonjwa huo.

Taasisi ya Tumaini la Maisha Tanzania imekuwa taasisi ya kwanza  ya kijamii yenye dhamira ya kuboresha afya za watoto waishio na ugonjwa wa saratani nchini Tanzania.
Moja ya malengo ya Taasisi hiyo ni pamoja na kujenga wodi mpya ya Saratani katika hospitali ya taifa Muhimbili ili kuweza kutoa huduma kwa watoto na familia zao na kuepuka wingi wa wagonjwa katika wodi za hospitali hiyo.

SOURCE: www.dewjiblog.com
 ________________ 
Media Contact:
E-mail: thpi2009@gmail.com



Tuesday, August 14, 2012

RAIS DKT. KIKWETE AWASILI KUTOKA GHANA, AFUTURU NA WATOTO YATIMA NA WALEMAVU IKULU


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik muda mfupi baada ya kuwasili akitokea nchini Ghana ambapo alishiriki mazishi ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Marehemu John Atta Mills.




Baadhi ya watoto yatima na walemavu wakishiriki katika futari ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.





Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisoma barua aliyoandikiwa na mtoto Khaitham Jumbe (kulia) wakati wa futari aliyowaandalia watoto walemavu na yatima ikulu jijini Dar es Salaam.Katikati anayeangalia ni mtoto Hamida Jacks mdogo wake Khaitham.Mtoto Khaitham Jumbe ni mlemavu wa ngozi na alikuja ikulu na wazazi wake.




Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakigawa zawadi kwa watoto yatima na walemavu walohudhuria futari waliyowaandalia ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni

_________________

For more information, comments,
please contact:

E-mail: thpi2009@gmail.com



Wednesday, August 8, 2012

MAENDELEO YA VIJANA NDIO MSINGI WA MAENDELEO YA TAIFA: DKT. MUKANGARA



Vijana wa Korea walioshiriki kambi ya kimataifa ya vijana wakitumbuiza wakati wa ufungaji wa kambi hiyo jana Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.


Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella E. Mukangara akipokea tuzo kutoka kwa Katibu Mkuu wa International Youth Fellowship Bw. Lee Hunmok jana wakati wa ufungaji wa kambi ya kimataifa ya vijana Jijini Dar es Salaam. Tuzo hiyo ilitolewa kwa Wizara kama ishara ya kutambua mchango wake katika kuhakikisha kuwa maendeleo ya vijana yanastawi kikamilifu.

Na Concilia Niyibitanga
WHVUM
Tarehe 8/8/2012

Maendeleo ya vijana  ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa letu, na ni muhimu vijana wakatambua hilo kwa kutimiza wajibu wao kwa jamii inayowazunguka.

Hayo yalisemwa jana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella E. Mukangara wakati akifunga kambi ya kimataifa ya vijana Chuo Kikuu cha Dar es Salaam iliyokaa kwa muda wa siku saba kwa lengo la kuzungumzia mustakabali wa maendeleo ya vijana hususan  kuwajengea  vijana fikra chanya kwa ajili ya kujiletea maendeleo.

Dkt. Mukangara alisema kuwa vijana wanatakiwa kuwa na moyo wa kujituma, kujitolea  na kufanya kazi kwa bidii ili kukabiliana na changamoto zinazowakabili katika maisha yao ya ujana.

‘Fanyeni kazi kwa bidii, kwa kujitolea, kwa kuzingatia muda na kujitegemea ili kutimiza ndoto zenu za kujiletea maendeleo ya kiuchumi na  kiafya’. Alisema Dkt. Mukangara

Aidha, amewaasa vijana kuachana na fikra za kulalamika, kudai haki bila wajibu na kunyosheana vidole na badala yake kijana mwenyewe ajiulize amefanya nini kutatua kero inayomzunguka.

Vijana kataeni vitendo vya uchochezi, chuki  na kejeli kwa viongozi kwani kufanya hivyo kunaweza kuwaingiza katika misuguano isiyo na tija na mkumbuke kuwa  maendeleo ya vijana hayawezi kushamiri na kustawi pasipo na amani, lindeni amani kwa nguvu zenu zote na kusimamia sheria wakati wote’ Alisema Dkt. Mukangara.

Alisema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa vijana  na kupitia Wizara yake imeweka mipango ambayo inatoa vipaumbele kwa maendeleo ya vijana.

Naye Katibu Mkuu wa International Youth Fellowship (IYF), Bw.Lee Hunmok aliwataka vijana kuwatumikia wenzao na kuwa mabalozi kwa vijana ambao hawakupata fursa ya kuingia kambini.

Bw. Vitus Faustin Mzale ni kijana aliyeshiriki kambi hiyo kutoka mkoani Kagera alisema kuwa ameweza kujifunza mambo mbalimbali kambini hapo na amewataka waandaaji kushirikiana na Serikali ili kuwapa vijana mafunzo ya ujasiriamali ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Kwa upande wake Bi Mariza Vargas  kijana kutoka Peru alisema kuwa amefungua moyo wake kwa ajili ya kujitolea na ameweza kujua  namna ya kufanikisha malengo yake ya kujiletea maendeleo kama kijana.

Kambi hiyo ya kimataifa iliyoandaliwa na International Youth Fellowship ilishirikisha nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania, Kenya, Korea, Malawi, Peru na China.

_______________________________________
Media Contacts:
For more information, comments, please contact:





Thursday, August 2, 2012

GLOBAL ALERT AND RESPONSE (GAR)


EBOLA IN UGANDA

29 JULY 2012 - The Ministry of Health (MoH) of Uganda has notified WHO of an outbreak of Ebola haemorrhagic fever in Kibaale district in the western part of the country.

A total of 20 cases, including 14 deaths have been reported since the beginning of July 2012. The index case was identified in a family from Nyanswiga village, Nyamarunda sub-county of Kibaale district, where nine of the deaths were recorded. The deceased include a clinical officer who attended to a patient, and her four month-old child. Nine of the 14 deaths have occurred in a single household.

Laboratory confirmation was done by the Uganda Virus Research Institute in Entebbe.
Currently, two patients are hospitalized and are in stable condition. The first is a 38 year-old female who attended to her sister, the clinical officer who died. She was admitted to the hospital on 26 July 2012. The second is a 30 year-old female who participated in conducting the burial of the index case. She was admitted to the hospital on 23 July 2012. Both cases were admitted to hospital with fever, vomiting, diarrhoea and abdominal pain. Neither of the cases has so far shown bleeding, a symptom that often appears in viral haemorrhagic fever patients.

The MoH is working with stakeholders and partners to control the outbreak. Response plans at the national and district levels are being finalised. A national task force coordinated by the MoH has been re-activated at the MOH headquarters and holds daily meetings. In Kibaale a district task force has been formed to better coordinate field response. The neighbouring districts have been put on high alert about the outbreak and to step up surveillance.

A team of experts from MoH, WHO and Centers for Disease Control and Prevention (CDC) is in Kibaale to support the response operations. All possible contacts that were exposed to the suspected and confirmed cases since 6 July 2012 are being identified for active follow up. The necessary supplies and logistics required for supportive management of patients are being mobilized.

Kibaale hospital has established a temporary isolation ward for suspected, probable and confirmed cases. Médecins Sans Frontières (MSF), Holland, has mobilized necessary requirements for setting up isolation centre at the hospital. The MoH and Mulago Hospital have mobilized some staff to manage the isolation centre but more are urgently needed.

The MoH has advised the public to take measures to avert the spread of the disease and to report any suspected patient to the nearest health unit.

WHO does not recommend that any travel or trade restrictions are applied to Uganda.



Wednesday, August 1, 2012

DOCTORS WITHOUT BORDERS HELP TO FIGHT EBOLA OUTBREAK




An emergency team from the international medical humanitarian organisation Médecins Sans Frontières/Doctors Without Borders (MSF) is in Kigadi, in western Uganda’s Kibaale district, to help fight an outbreak of the Ebola virus. Other MSF teams in Uganda are closely monitoring the situation.

The Ebola outbreak, confirmed by Ugandan government on 28 July, has killed at least 14 people, while at least 20 more are thought to be infected.

The MSF team’s priorities are to identify and care for people who have been infected, as well as all those who have been in contact with them, and to ensure that emergency medical services are functioning. They will also work to identify how and where the virus is spreading, and to isolate people who are infected so as to limit the transmission of the disease.

“It’s very important to react quickly to find where the disease is focused and to isolate it as fast as possible,” says Olimpia de la Rosa, MSF’s emergency coordinator for Uganda ebola intervention. “It is also essential to take care of the caregivers – which means supporting and working closely with the Ugandan health teams who are already struggling to stop the virus spreading.”

Ebola hemorrhagic fever spreads rapidly through direct contact with infected people or animals, and can be transmitted through blood, bodily fluids and even contact with clothes worn by an infected person. It is caused by a virus first identified in 1976 in Sudan’s Western Equatoria province and in Zaire (now Democratic Republic of Congo). Stringent infection control measures are crucial to limit the deadly spread of the virus.

Thursday, July 26, 2012

AFRICAN BARRICK GOLD DONATES $100,000/= TO FIGHT AGAINST MALARIA


African Barrick Gold (ABG) has partnered with Malaria No More to raise awareness on malaria prevention in Tanzania. ABG, through its Maendeleo Fund, has provided $100,000 (approx. 160 million shillings) towards the roll-out of Malaria No More’s NightWatch campaign in the Lake Zone  over a one-year period. ABG’s Vice-President for Corporate Affairs, Deo Mwanyika (centre), is pictured with David Bowen, Chief Executive Officer of Malaria No More (right) and Robert Pilon Jr., the initiative’s Chief Development Officer at the cheque hand-over ceremony in Dar es Salaam recently.


Wednesday, July 25, 2012

Recommended Ramadhan Diet



Drink Plenty of Water
Proper hydration is essential during Ramadhan. Drink plenty of fruit juice and water during Suhoor and bedtime to maintain proper fluid levels. This helps avoid common health problems associated with dehydration such as headache and fatigue.

Replace Sugar with Fruit
Sugar absorbs necessary vitamins and minerals from our bodies. During Ramadhan, it is important to retain as many vitamins and minerals as possible. White rice and bread act in the same way sugars do in our bodies. Whole wheat and unpolished rice are a good substitute.

Avoid Overeating
It’s a sad truth that the majority of Muslims gain weight during Ramadhan, but there is no need to consume excess food at Suhoor or Iftaar. This may result in indigestion, bloating, upset stomach or lack of sleep. There is no reason to vary your diet too much from your normal diet before fasting. During a period of fasting, our bodies are able to compensate so there is no reason to eat more than normal.

Ramadan Diet Suggestions:

Dates/Almonds
Dates are an excellent source of fiber, sugar, potassium , magnesium and carbohydrates. Almonds are low in fat and a good source of protein and fiber.

Soup
Soup is a quick and easy way to get the nourishment your body needs. Soup provides two basic needs during a fast: nourishment and water. It is an excellent choice for iftar.

Fruits
Bananas are a good source of carbohydrates, magnesium and potassium. Other fruits, such as pears, nectarines, oranges, plums and apples are a good sources of natural sugar.

Foods to Avoid During Ramadan
Avoid fatty and fried foods as they will make you feel sluggish and possibly cause indigestion. You should also avoid foods with too much sugar, which is why fruits are a preferred option. Avoid tea and opt for water instead. Tea passes quickly through the digestive system and takes valuable mineral salts with it that the body needs to function properly during the day

Source: www.dewjiblog.com 

Tuesday, July 24, 2012

HOSPITALI YA AICC KUENDESHA KAMPENI YA KUPIMA KISUKARI BURE



Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha kupitia hospitali yake ya AICC kitaendesha kampeni ya kupima kisukari bure kwa wakazi wa Arusha ili kusaidia wananchi kutambua kama wana ugonjwa wa kisukari au wapo katika hatari ya kuugua ugonjwa huo.

Kampeni hiyo itafanyika kesho (terehe 26-07-2012) katika hopitali ya AICC iliyopo jijini Arusha ambapo madaktari wa hospitali ya AICC kwa kushirikiana na Madaktari wanaohudhuria mkutano wa Shirikisho la Madaktari wa Kimataifa pamoja na madaktari kutoka Chama cha Ugonjwa wa Kisukari Tanzania wataendesha zoezi la upimaji huo.

Mkurugenzi Mwendeshaji wa AICC, Bwana Elishilia Kaaya, amesema kuwa mbali na kupima kisukari, madaktari hao pia watatoa ushauri wa namna bora ya kuishi na jinsi ya kuzuia madhara ya kisukari kwa wale watakao kuwa wamekutwa na ugonjwa huo.

 “Hospitali ya AICC inatambua umuhimu wa afya za wakazi wa Arusha na Watanzania kwa ujumla na ndio maana tumeona ni vema kufanya kampeni hii ya kupima kisukari. Napenda kutumia fursa hii kuwaalika wakazi wote wa Arusha na vitongoji vyake kufika kwa wingi kwani mbali na kupima pia itatolewa elimu na ushauri kutoka kwa wataalamu hao.” alieleza Kaaya.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mwendeshaji, upimaji huo utaenda sambamba na mkutano wa kwanza wa Shirikisho la Madaktari wa Kisukari wa Kimataifa ambao kwa mara ya kwanza unafanyika hapa nchini. Mkutano huo utafanyika katika kituo cha AICC ambapo madaktari wanaohudhuria mkutano huo na wale kutoka Chama cha Ugonjwa wa Kisukari Tanzania watatoa huduma ya upimaji katika zoezi hilo.

“Tunaamini baada ya kampeni hii wananchi watakuwa wamepata ufahamu juu ya hali ya afya zao na kutumia vema ushauri wa madaktari kwa ajili ya kujikinga na kuzua athari za ugonjwa huo”, alielezea Kaaya.

Mbali na kuendesha kampeni hii, hospitali ya AICC imeanzisha kitengo maalumu cha kisukari ambapo kila wiki madaktari hutoa huduma za matibabu na ushauri kwa wagonjwa wa kisukri.

Ugonjwa wa kisukari umekuwa ukiongezeka kwa kasi duniani ambapo taarifa za Shirika la Afrya Duniani (WHO) zinaonesha kuwa hadi kufikia mwaka 2011 watu milioni 366 walikuwa wanaugua ugonjwa wa kisukari na mwaka 2030 idadi inakadiriwa kufika milioni 552. Barani Afrika watu milioni 14 na nusu wanaugua ugonjwa huo huku idadi ikitarajiwa kufika milioni 28 mwaka 2030 ikiwa ni ongezeko la 90%


Friday, July 20, 2012

HAIKUBALIKI KWA MJAMZITO KUPOTEZA MAISHA AKIJIFUNGUA - DKT. KIKWETE





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ni jambo lisilokubalika kwa mwanamke kupoteza maisha wakati akijifungua kwa sababu uja uzito siyo ugonjwa.

Aidha, Dkt. Kikwete amesema kuwa pamoja na juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali katika kupunguza vifo vya akinamama wakati wa uzazi na mipango mingine ya uzazi bora, bado tatizo linabakia kubwa na zinahitajika juhudi zaidi ili kuondokana na tatizo la vifo wakati wa uzazi.

Dkt. Kikwete ameyasema hayo leo, Alhamisi, Julai 19, 2012, wakati alipokutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa shirika la kimataifa lisilokuwa la kiserikali la Pathfinder International, Dkt. Purnima Mane, Ikulu, Dar es Salaam.
Dkt. Kikwete amesema kuwa ni jambo lisilokubalika kabisa kwa mwanamke kupoteza maisha wakati akijifungua. 

“Uzazi siyo ugonjwa na kwa hakika ni jambo lisilokubalika kwa mwanamke kupoteza maisha wakati akijaribu kutoa maisha kwa binadamu mwingine. Hili ni jambo ambalo Serikali itaendelea kupambana nalo hadi kulifikisha mahali pazuri zaidi.”

Dkt. Kikwete amesema kuwa ni kweli kuwa Serikali yake imekuwa inafanya juhudi kubwa katika eneo hili lakini bado tatizo ni kubwa na zinahitaji jitihada za ziada.

 “Tumefanya jitihada kubwa na kupata mafanikio ya kujivunia lakini bado kazi ni kubwa.”

Takwimu za sasa zinaonyesha kuwa akinamama 578 kati ya 100,000 hupoteza maisha wakati wa uzazi, idadi ambayo imeshuka kutoka miaka minne iliyopita wakati takwimu zilionyesha kuwa akinamama 790 kati ya laki moja walikuwa wanapoteza maisha wakati wa kujifungua.

Miongoni mwa maamuzi ambayo Serikali imechukua kukabiliana na tatizo hilo ni pamoja uamuzi wa kupunguza umbali wa kufikia huduma za afya kwa kujenga zahanati kila kijiji na kituo cha afya kila kata na hivyo kuhakikisha kuwa huduma hizo zinapatikana katika umbali usiozidi kilomita tano.

Serikali pia imeamua kuwa kila zahanati ama kituo cha afya lazima kiwe na huduma za kuhudumia wazazi na waja wazito.

Serikali pia imechukua hatua za kukabiliana na ugonjwa wa ukimwi ambao ni moja ya chimbuko kubwa la vifo vya akinamama waja wazito.

Dkt. Mane ambaye anatembelea Tanzania kwa mara ya kwanza amemsifu Rais Dkt. Jakaya Kikwete kwa uongozi wake katika masuala ya afya na masuala mengine.

“Uongozi wako katika suala hili ni jambo linalojulikana duniani pote. Tunakushukuru sana kwa sababu wewe ni bingwa wetu na msemaji wetu mkubwa katika mapambano ya usalama wa akinamama waja wazito.”

Pathfinder International ni shirika la kimataifa lisilokuwa la kiserikali ambalo malengo yake makuu ni kushughulikia afya za akinamama na kuboresha uzazi. Katika Tanzania, Pathfinder International linaendesha miradi tisa kwa sasa katika maeneo ya UKIMWI, masuala ya uzazi na uzazi wa mpango.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
19, Julai, 2012


Tuesday, July 17, 2012

25 TANZANIAN PATIENTS WITH HEART RELATED PROBLEMS TO BE TREATED BY SRI SATHYA SAI SOCIETY, FREE OF COST




Sri Sathya Sai Society is undertaking unique exercise of screening patients suffering from heart related problems from 16-18th July 2012 at Regency Medical Centre.

25 patients will be selected and in August a specialist doctor from Sri Sathya Sai Hospital, Rajkot India will do a final check up after which they will be sent to the said hospital in Rajkot for further treatment free of cost.

Sri Sathya Sai Heart Hospital will bear the expenses of picking the patients from the nearest airport in India, providing treatment, surgeries and medicines expenses and lodging and boarding facilities during their stay in India.  They will be largest contributor of the whole exercise.

Sri Sathya Sai Society of Tanzania will bear all the expenses of screening the patients here and their travel cost from Dar to Rajkot India.  The estimated cost will be USD 30,000 for air fare and other incidental expenses of USD 5000 total USD 35000 which we intend to generate from our own resources, Sai family members and their associates and corporate.

To contribute in whatever amount for the noble cause, please contact Mr. Jajoo +255 757 963143