Thursday, August 23, 2012

MAMA SALMA KIKWETE TO LAUNCH RAPID WOMEN TANZANIA MODEL



Mama Salma Kikwete.

The Tanzanian First Lady and Chairperson of Wanawake na Maendeleo Foundation (WAMA) tomorrow will be launching the RapidWomen Tanzania Model in Dar es Salaam.

The RapidWomen Tanzania Model is an interactive software tool that shows how women centered strategies focused on three aspects; Reproductive health, Gender norms and Education, can increase the quality of life of women, families, communities, as well as overall national development thus impacting on the Human Development Index (HDI).

Based on local Demographic and Health Survey (DHS) data, the model has great potential as an advocacy tool that can be used by women leaders, government leaders and civil Societies, calling for a more focused 3 prong approach to national development. 

Friday, August 17, 2012

UN YAWAKUTANISHA VIJANA NCHINI NA KUWATAKA KUJITAMBUA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA VIJANA DUNIANI


Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Tanzania Dkt. Elisante Ole Gabriel (katikati) kwa niaba ya Waziri Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella E. Mukangara katika meza kuu wakati wa maadhimisho ya siku ya Vijana Kimataifa Duniani ambapo Tanzania iliadhimishwa katika viwanja vya Temeke Mwembeyanga. Kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa UNFPA Bi. Mariam Khan na kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la AMREF Bw. Festus Ilako.



Mwakilishi Mkazi wa UNFPA Bi. Mariam Khan (kushoto) akisalimia umati wa wakazi wa jijini Dar (hawapo pichani) na kutoa ujumbe kwa vijana kuungana na kujiepusha na mangonjwa hatarishi. Kulia Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Tanzania Dkt. Elisante Ole Gabriel.



Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Tanzania Dkt. Elisante Ole Gabriel akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa UNFPA Bi. Mariam Khan.



Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Tanzania Dkt. Elisante Ole Gabriel akiwasilisha ujumbe kwa niaba ya Waziri wa Wizara ya Vijana Utamaduni na Michezo ambapo amewataka vijana kujitambua na kuwa na mikakati endelevu na kukaa kama vikundi ili Serikali iweze kuwasaidia kupata misaada na kuwawezesha kuwa na maendeleo endelevu katika siku hii ya maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Vijana Duniani ambayo huadhimishwa kila tarehe 11 Agosti na kutimiza malengo aliyokuwa akiyatafakari baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere juu ya Vijana.



Umati wa wakazi wa Temeke katika tamasha la siku ya maadhimisho ya Kimataifa ya Vijana Duniani ambako zilifanyika shughuli mbambali ikiwemo ujumbe kutoka Serikalini na Kupima virusi vya Ukimwi bure.








Baadhi ya Vijana wakitazama machapisho ya vijarida mbalimbali vinavyotoa taarifa kuhusiana na Afya zao na jinsi ya kupata huduma.


Mmoja wa wakazi wa jijini Dar es Salaam akicheki Afya yake



Wakazi waliohamasika kupima VVU na magonjwa ya Zinaa wakiwa katika foleni ya kupata huduma hiyo wakati wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya vijana Duniani katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke jijini Dar



Kikundi cha Sarakasi cha Rayon Kids kutoka Temeke kikitoa burudani wakati wa maadhimisho hayo.









Wednesday, August 15, 2012

PRECISION AIR NA TAASISI YA TUMAINI LA MAISHA KUTOA USAFIRI KWA WATOTO WENYE SARATANI


 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Precision Air Bw. Alfonse Kioko akizungumza na wageni na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kutiliana saini na Taasisi binafsi ya Tumaini la Maisha ambapo amesema kuwa taifa lenye afya ndio lenye uwezo wa kupata maendeleo na kuongeza kuwa watoto wanahitaji uangalizi na huduma bora za afya ili kujenga taifa lenye afya bora na mafanikio siku za usoni. Kushoto ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Tumaini la Maisha Bi. Blandina Lugendo na kulia ni Daktari Bingwa wa Saratani za Watoto (Paediatric Oncologist) Dkt. Trish Scalan. 



Bw. Alfonse Kioko wa Precision air wakitiliana saini mkataba na Bi. Blandina Lugendo wa Taasisi ya Tumaini la Maisha, utakaoshuhudia kampuni ya Precision Air ikitoa tiketi za ndege kwa Taasisi ya Tumaini la Maisha Tanzania, ambazo zitatumika kusafirisha watoto wenye saratani pamoja na wazazi au walezi wao kutoka jijini Dar es Salaam kwenda sehemu mbalimbali nchini.



Wakikabidhiana mkataba wa makubaliano hayo.


Kampuni ya huduma za usafirishaji wa anga ya Precision Air imeingia katika ubia na taasisi binafsi ya Tumaini la Maisha Tanzania ambayo inajihusisha na kuboresha maisha ya watoto wenye saratani nchini Tanzania.

Kampuni hiyo itakuwa ikitoa tiketi mbili zilizolipiwa ushuru kwa mwezi na kuwezesha kusafirisha wagonjwa kwenda katika maeneo mbalimbali nchini.

Akizungumza katika hafla ya kusain imkataba wa ubiahuo, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Precision Air Bw. Alfonse Kioko amesema wanayo furaha kuingia katika ushirikiano huo katika jitihada za kujenga taifa lenye afya.

Bw. Kioko ameongoza kusema kuwa wapo maelfu ya watoto wanaosumbuliwa na saratani ndani ya nchi yetu, na ni lengo lao sasa kuhakikisha tunawarahisishia ugumu wa maisha katika kupambana na ugonjwa huo.

Taasisi ya Tumaini la Maisha Tanzania imekuwa taasisi ya kwanza  ya kijamii yenye dhamira ya kuboresha afya za watoto waishio na ugonjwa wa saratani nchini Tanzania.
Moja ya malengo ya Taasisi hiyo ni pamoja na kujenga wodi mpya ya Saratani katika hospitali ya taifa Muhimbili ili kuweza kutoa huduma kwa watoto na familia zao na kuepuka wingi wa wagonjwa katika wodi za hospitali hiyo.

SOURCE: www.dewjiblog.com
 ________________ 
Media Contact:
E-mail: thpi2009@gmail.com



Tuesday, August 14, 2012

RAIS DKT. KIKWETE AWASILI KUTOKA GHANA, AFUTURU NA WATOTO YATIMA NA WALEMAVU IKULU


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik muda mfupi baada ya kuwasili akitokea nchini Ghana ambapo alishiriki mazishi ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Marehemu John Atta Mills.




Baadhi ya watoto yatima na walemavu wakishiriki katika futari ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.





Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisoma barua aliyoandikiwa na mtoto Khaitham Jumbe (kulia) wakati wa futari aliyowaandalia watoto walemavu na yatima ikulu jijini Dar es Salaam.Katikati anayeangalia ni mtoto Hamida Jacks mdogo wake Khaitham.Mtoto Khaitham Jumbe ni mlemavu wa ngozi na alikuja ikulu na wazazi wake.




Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakigawa zawadi kwa watoto yatima na walemavu walohudhuria futari waliyowaandalia ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni

_________________

For more information, comments,
please contact:

E-mail: thpi2009@gmail.com



Wednesday, August 8, 2012

MAENDELEO YA VIJANA NDIO MSINGI WA MAENDELEO YA TAIFA: DKT. MUKANGARA



Vijana wa Korea walioshiriki kambi ya kimataifa ya vijana wakitumbuiza wakati wa ufungaji wa kambi hiyo jana Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.


Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella E. Mukangara akipokea tuzo kutoka kwa Katibu Mkuu wa International Youth Fellowship Bw. Lee Hunmok jana wakati wa ufungaji wa kambi ya kimataifa ya vijana Jijini Dar es Salaam. Tuzo hiyo ilitolewa kwa Wizara kama ishara ya kutambua mchango wake katika kuhakikisha kuwa maendeleo ya vijana yanastawi kikamilifu.

Na Concilia Niyibitanga
WHVUM
Tarehe 8/8/2012

Maendeleo ya vijana  ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa letu, na ni muhimu vijana wakatambua hilo kwa kutimiza wajibu wao kwa jamii inayowazunguka.

Hayo yalisemwa jana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella E. Mukangara wakati akifunga kambi ya kimataifa ya vijana Chuo Kikuu cha Dar es Salaam iliyokaa kwa muda wa siku saba kwa lengo la kuzungumzia mustakabali wa maendeleo ya vijana hususan  kuwajengea  vijana fikra chanya kwa ajili ya kujiletea maendeleo.

Dkt. Mukangara alisema kuwa vijana wanatakiwa kuwa na moyo wa kujituma, kujitolea  na kufanya kazi kwa bidii ili kukabiliana na changamoto zinazowakabili katika maisha yao ya ujana.

‘Fanyeni kazi kwa bidii, kwa kujitolea, kwa kuzingatia muda na kujitegemea ili kutimiza ndoto zenu za kujiletea maendeleo ya kiuchumi na  kiafya’. Alisema Dkt. Mukangara

Aidha, amewaasa vijana kuachana na fikra za kulalamika, kudai haki bila wajibu na kunyosheana vidole na badala yake kijana mwenyewe ajiulize amefanya nini kutatua kero inayomzunguka.

Vijana kataeni vitendo vya uchochezi, chuki  na kejeli kwa viongozi kwani kufanya hivyo kunaweza kuwaingiza katika misuguano isiyo na tija na mkumbuke kuwa  maendeleo ya vijana hayawezi kushamiri na kustawi pasipo na amani, lindeni amani kwa nguvu zenu zote na kusimamia sheria wakati wote’ Alisema Dkt. Mukangara.

Alisema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa vijana  na kupitia Wizara yake imeweka mipango ambayo inatoa vipaumbele kwa maendeleo ya vijana.

Naye Katibu Mkuu wa International Youth Fellowship (IYF), Bw.Lee Hunmok aliwataka vijana kuwatumikia wenzao na kuwa mabalozi kwa vijana ambao hawakupata fursa ya kuingia kambini.

Bw. Vitus Faustin Mzale ni kijana aliyeshiriki kambi hiyo kutoka mkoani Kagera alisema kuwa ameweza kujifunza mambo mbalimbali kambini hapo na amewataka waandaaji kushirikiana na Serikali ili kuwapa vijana mafunzo ya ujasiriamali ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Kwa upande wake Bi Mariza Vargas  kijana kutoka Peru alisema kuwa amefungua moyo wake kwa ajili ya kujitolea na ameweza kujua  namna ya kufanikisha malengo yake ya kujiletea maendeleo kama kijana.

Kambi hiyo ya kimataifa iliyoandaliwa na International Youth Fellowship ilishirikisha nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania, Kenya, Korea, Malawi, Peru na China.

_______________________________________
Media Contacts:
For more information, comments, please contact:





Thursday, August 2, 2012

GLOBAL ALERT AND RESPONSE (GAR)


EBOLA IN UGANDA

29 JULY 2012 - The Ministry of Health (MoH) of Uganda has notified WHO of an outbreak of Ebola haemorrhagic fever in Kibaale district in the western part of the country.

A total of 20 cases, including 14 deaths have been reported since the beginning of July 2012. The index case was identified in a family from Nyanswiga village, Nyamarunda sub-county of Kibaale district, where nine of the deaths were recorded. The deceased include a clinical officer who attended to a patient, and her four month-old child. Nine of the 14 deaths have occurred in a single household.

Laboratory confirmation was done by the Uganda Virus Research Institute in Entebbe.
Currently, two patients are hospitalized and are in stable condition. The first is a 38 year-old female who attended to her sister, the clinical officer who died. She was admitted to the hospital on 26 July 2012. The second is a 30 year-old female who participated in conducting the burial of the index case. She was admitted to the hospital on 23 July 2012. Both cases were admitted to hospital with fever, vomiting, diarrhoea and abdominal pain. Neither of the cases has so far shown bleeding, a symptom that often appears in viral haemorrhagic fever patients.

The MoH is working with stakeholders and partners to control the outbreak. Response plans at the national and district levels are being finalised. A national task force coordinated by the MoH has been re-activated at the MOH headquarters and holds daily meetings. In Kibaale a district task force has been formed to better coordinate field response. The neighbouring districts have been put on high alert about the outbreak and to step up surveillance.

A team of experts from MoH, WHO and Centers for Disease Control and Prevention (CDC) is in Kibaale to support the response operations. All possible contacts that were exposed to the suspected and confirmed cases since 6 July 2012 are being identified for active follow up. The necessary supplies and logistics required for supportive management of patients are being mobilized.

Kibaale hospital has established a temporary isolation ward for suspected, probable and confirmed cases. Médecins Sans Frontières (MSF), Holland, has mobilized necessary requirements for setting up isolation centre at the hospital. The MoH and Mulago Hospital have mobilized some staff to manage the isolation centre but more are urgently needed.

The MoH has advised the public to take measures to avert the spread of the disease and to report any suspected patient to the nearest health unit.

WHO does not recommend that any travel or trade restrictions are applied to Uganda.



Wednesday, August 1, 2012

DOCTORS WITHOUT BORDERS HELP TO FIGHT EBOLA OUTBREAK




An emergency team from the international medical humanitarian organisation Médecins Sans Frontières/Doctors Without Borders (MSF) is in Kigadi, in western Uganda’s Kibaale district, to help fight an outbreak of the Ebola virus. Other MSF teams in Uganda are closely monitoring the situation.

The Ebola outbreak, confirmed by Ugandan government on 28 July, has killed at least 14 people, while at least 20 more are thought to be infected.

The MSF team’s priorities are to identify and care for people who have been infected, as well as all those who have been in contact with them, and to ensure that emergency medical services are functioning. They will also work to identify how and where the virus is spreading, and to isolate people who are infected so as to limit the transmission of the disease.

“It’s very important to react quickly to find where the disease is focused and to isolate it as fast as possible,” says Olimpia de la Rosa, MSF’s emergency coordinator for Uganda ebola intervention. “It is also essential to take care of the caregivers – which means supporting and working closely with the Ugandan health teams who are already struggling to stop the virus spreading.”

Ebola hemorrhagic fever spreads rapidly through direct contact with infected people or animals, and can be transmitted through blood, bodily fluids and even contact with clothes worn by an infected person. It is caused by a virus first identified in 1976 in Sudan’s Western Equatoria province and in Zaire (now Democratic Republic of Congo). Stringent infection control measures are crucial to limit the deadly spread of the virus.